1 Fal. 19:13 SUV

13 Ikawa, Eliya alipoisikia, alijifunika uso wake katika mavazi yake, akatoka, akasimama mlangoni mwa pango. Na tazama, sauti ikamjia, kusema, Unafanya nini hapa, Eliya?

Kusoma sura kamili 1 Fal. 19

Mtazamo 1 Fal. 19:13 katika mazingira