1 Fal. 19:21 SUV

21 Akarudi akiacha kumfuata, akatwaa lile jozi la ng’ombe, akawachinja, akatokosa nyama zao kwa ile miti ya ng’ombe, akawapa watu, wakala. Kisha akainuka, akamfuata Eliya, akamhudumia.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 19

Mtazamo 1 Fal. 19:21 katika mazingira