1 Basi, Ben-hadadi mfalme wa Shamu akakusanya jeshi lake lote; nao walikuwapo wafalme thelathini na wawili pamoja naye, na farasi, na magari: akakwea akauhusuru Samaria, akaupiga vita.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 20
Mtazamo 1 Fal. 20:1 katika mazingira