1 Fal. 2:19 SUV

19 Basi Bath-sheba akaingia kwa mfalme Sulemani, aseme naye kwa ajili ya Adonia. Naye mfalme akainuka kwenda kumlaki, akamwinamia, akaketi katika kiti chake cha enzi; kisha akaagiza awekewe kiti cha enzi mamaye mfalme; naye akaketi mkono wake wa kuume.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:19 katika mazingira