1 Fal. 2:20 SUV

20 Ndipo akasema, Haja moja ndogo nakuomba; usinikataze. Mfalme akamwambia, Omba, mama; kwa kuwa siwezi kukukataza neno.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:20 katika mazingira