1 Fal. 2:28 SUV

28 Tena, habari zikamfikia Yoabu; kwa maana Yoabu alikuwa amemfuata Adonia, ingawa hakumfuata Absalomu. Yoabu akakimbilia Hemani kwa BWANA, akazishika pembe za madhabahu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:28 katika mazingira