1 Fal. 2:29 SUV

29 Akaambiwa mfalme Sulemani ya kwamba, Yoabu amekimbilia Hemani kwa BWANA, naye, tazama, yuko madhabahuni. Ndipo Sulemani akamtuma Benaya, mwana wa Yehoyada, akisema, Enenda, umpige.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:29 katika mazingira