1 Fal. 2:35 SUV

35 Kisha mfalme akamweka Benaya, mwana wa Yehoyada, mahali pake juu ya jeshi; na Sadoki, kuhani, mfalme akamweka mahali pa Abiathari.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:35 katika mazingira