1 Fal. 2:36 SUV

36 Tena, mfalme akatuma watu akamwita Shimei, akamwambia, Ujijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae ndani yake, wala usitoke humo kwenda mahali po pote.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:36 katika mazingira