1 Fal. 2:46 SUV

46 Basi mfalme akamwamuru Benaya, mwana wa Yehoyada; naye akatoka, akampiga, hata akafa. Nao ufalme ukawa imara mkononi mwa Sulemani.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:46 katika mazingira