1 Fal. 3:1 SUV

1 Huyo Sulemani akafanya ujamaa na Farao, mfalme wa Misri, akamwoa binti yake Farao, akamleta mjini mwa Daudi, hata alipokwisha kuijenga nyumba yake, na nyumba ya BWANA, na ukuta wa kuuzunguka Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 3

Mtazamo 1 Fal. 3:1 katika mazingira