1 Fal. 20:11 SUV

11 Mfalme wa Israeli akajibu, akasema, Mwambieni, Avaaye asijisifu kama avuaye.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 20

Mtazamo 1 Fal. 20:11 katika mazingira