13 Na tazama, nabii akamjia Ahabu mfalme wa Israeli, akasema, BWANA asema hivi, Je! Umeona makutano haya yote walio wengi? Angalia, nitawatia leo mkononi mwako; nawe utajua ya kuwa ndimi BWANA.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 20
Mtazamo 1 Fal. 20:13 katika mazingira