22 Naye yule nabii akamjia mfalme wa Israeli, akamwambia, Enenda, kusanya nguvu zako, ujue, na kuangalia ufanyavyo; kwa maana mwakani mfalme wa Shamu atakuja juu yako.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 20
Mtazamo 1 Fal. 20:22 katika mazingira