1 Fal. 20:23 SUV

23 Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo sababu ya kutushinda sisi; lakini na tupigane nao katika nchi tambarare, na hakika tutawashinda wao.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 20

Mtazamo 1 Fal. 20:23 katika mazingira