10 mkainue watu wawili, watu wasiofaa, ili wamshitaki, na kumshuhudia, kunena, Umemtukana Mungu na mfalme. Kisha mchukueni nje, mkampige kwa mawe, ili afe.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 21
Mtazamo 1 Fal. 21:10 katika mazingira