1 Fal. 21:11 SUV

11 Wale wazee wa mji wake, na walio wenye nguvu waliokaa mjini mwake, wakafanya kama Yezebeli alivyowaagiza, kama ilivyoandikwa katika nyaraka alizowapelekea.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 21

Mtazamo 1 Fal. 21:11 katika mazingira