12 Na manabii wote wakasema hivyo kwa unabii, wakisema, Kwea Ramoth-Gileadi, ukafanikiwe; kwa kuwa BWANA atautia mkononi mwa mfalme.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 22
Mtazamo 1 Fal. 22:12 katika mazingira