30 Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, Nitajibadilisha, na kuingia vitani; lakini wewe uvae mavazi yako. Mfalme wa Israeli akajibadilisha, akaingia vitani.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 22
Mtazamo 1 Fal. 22:30 katika mazingira