31 Basi mfalme wa Shamu alikuwa amewaamuru wakuu wa magari yake thelathini na wawili, akisema, Msipigane na mdogo wala mkuu, ila na mfalme wa Israeli peke yake.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 22
Mtazamo 1 Fal. 22:31 katika mazingira