1 Fal. 22:34 SUV

34 Mtu mmoja akavuta upinde kwa kubahatisha, akampiga mfalme wa Israeli mahali pa kuungana mavazi yake ya chuma; kwa hiyo akamwambia mwendesha gari lake, Geuza mkono wako, unichukue kutoka katika majeshi; kwa kuwa nimejeruhiwa sana.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 22

Mtazamo 1 Fal. 22:34 katika mazingira