1 Fal. 22:35 SUV

35 Pigano likazidi siku ile; mfalme akategemezwa garini mwake, kinyume cha Washami, hata jioni akafa; damu ikatoka katika jeraha yake ndani ya gari.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 22

Mtazamo 1 Fal. 22:35 katika mazingira