42 Yehoshafati alikuwa mwenye miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 22
Mtazamo 1 Fal. 22:42 katika mazingira