1 Fal. 3:14 SUV

14 Nawe ukienda katika njia zangu, na kuyashika mausia yangu, na amri zangu, kama baba yako Daudi alivyokwenda, basi nitazifanya siku zako kuwa nyingi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 3

Mtazamo 1 Fal. 3:14 katika mazingira