1 Fal. 5:8 SUV

8 Hiramu akatuma watu kwa Sulemani, akasema, Nimeyasikia yale uliyoniletea; nami nitafanya kila ulitakalo katika habari ya miti ya mierezi, na miti ya miberoshi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 5

Mtazamo 1 Fal. 5:8 katika mazingira