1 Fal. 5:9 SUV

9 Watumishi wangu wataishusha toka Lebanoni mpaka baharini; nami nitaiendesha baharini, ikifungwa pamoja, mpaka mahali utakaponiagiza, huko nitaifungua ili wewe uichukue; ndivyo utakavyoitimiza haja yangu, ukiwapa chakula watu wa nyumbani mwangu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 5

Mtazamo 1 Fal. 5:9 katika mazingira