21 Akazisimamisha nguzo ukumbini pa hekalu; akaisimamisha nguzo ya kuume, akaiita jina lake Yakini; akaisimamisha nguzo ya kushoto, akaiita jina lake Boazi.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 7
Mtazamo 1 Fal. 7:21 katika mazingira