29 na juu ya papi zilizokuwa katikati ya vipandio kulikuwa na simba, na ng’ombe, na makerubi; na juu ya vipandio kulikuwa na tako; na chini ya simba na ng’ombe kulikuwa na masongo ya kazi ya kupembeza.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 7
Mtazamo 1 Fal. 7:29 katika mazingira