30 Kila tako lilikuwa na magurudumu manne ya shaba, na vipini vya shaba; na miguu yake minne ilikuwa na mataruma; chini ya birika yalikuwako mataruma ya kusubu, yenye masongo kila moja mbavuni.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 7
Mtazamo 1 Fal. 7:30 katika mazingira