1 Fal. 7:6 SUV

6 Akaifanya baraza ya nguzo; mikono hamsini urefu wake, na mikono thelathini upana wake; na ukumbi mbele yake; na nguzo na mihimili minene mbele yake.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 7

Mtazamo 1 Fal. 7:6 katika mazingira