1 Fal. 7:7 SUV

7 Akaifanya baraza ya kiti cha enzi, ili ahukumu ndani yake, ndiyo baraza ya hukumu; nayo ikafunikwa mwerezi tangu sakafu mpaka dari.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 7

Mtazamo 1 Fal. 7:7 katika mazingira