1 Fal. 8:30 SUV

30 Uisikie dua ya mtumwa wako, na ya watu wako Israeli, watakapoomba wakikabili mahali hapa; naam, sikia huko mbinguni, makao yako; nawe usikiapo, samehe.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 8

Mtazamo 1 Fal. 8:30 katika mazingira