1 Fal. 8:46 SUV

46 Ikiwa wamekutenda dhambi, (maana hakuna mtu asiyetenda dhambi), hata ukawaghadhibikia, ukawatia katika mikono ya adui zao, wawachukue mateka mpaka nchi ya adui zao, iliyo mbali au iliyo karibu;

Kusoma sura kamili 1 Fal. 8

Mtazamo 1 Fal. 8:46 katika mazingira