1 Nya. 11:1 SUV

1 Ndipo Israeli wote wakamkusanyikia Daudi huko Hebroni, wakisema, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:1 katika mazingira