1 Nya. 11:2 SUV

2 Katika zamani za kale, hata hapo Sauli alipokuwa mfalme, wewe ndiwe uliyewatoa na kuwaingiza Israeli. Naye BWANA, Mungu wako, akakuambia, Ndiwe, utakayewalisha watu wangu Israeli, ndiwe utakayekuwa mkuu juu ya watu wangu Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:2 katika mazingira