1 Nya. 11:10 SUV

10 Basi hawa ndio wakuu wa mashujaa aliokuwa nao Daudi, waliojitia nguvu pamoja naye katika ufalme wake, pamoja na Israeli wote, ili kumfanya awe mfalme, sawasawa na neno la BWANA alilonena juu ya Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:10 katika mazingira