1 Nya. 11:11 SUV

11 Na hii ndiyo hesabu ya hao mashujaa aliokuwa nao Daudi; Yashobeamu, Mhakmoni, mkuu wa maakida; huyo aliuinua mkuki wake juu ya watu mia tatu, akawaua pamoja.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:11 katika mazingira