1 Nya. 11:20 SUV

20 Tena Abishai, nduguye Yoabu, alikuwa mkuu wa wale watatu; kwa kuwa aliuinua mkuki wake juu ya watu mia tatu, akawaua; akawa na jina kati ya wale watatu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:20 katika mazingira