1 Nya. 11:21 SUV

21 Katika wale watatu yeye alikuwa mwenye heshima kuliko hao wawili, akawa akida wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:21 katika mazingira