1 Nya. 11:22 SUV

22 Tena, Benaya, mwana wa Yehoyada, mtu hodari, wa Kabseeli, aliyekuwa amefanya mambo makuu, ndiye aliyewaua simba wakali wawili wa Moabu; pia akashuka, akamwua simba katikati ya shimo wakati wa theluji.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:22 katika mazingira