1 Nya. 11:23 SUV

23 Huyo akamwua Mmisri, mtu mrefu sana, aliyekuwa wa dhiraa tano urefu wake; na yule Mmisri alikuwa na mkuki kama mti wa mfumaji mkononi; lakini yeye akamshukia na gongo, akamnyakulia Mmisri mkuki mkononi, akamwua kwa mkuki wake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:23 katika mazingira