1 Nya. 12:1 SUV

1 Basi hawa ndio wale waliomjia Daudi huko Siklagi, alipokuwa akijificha kwa ajili ya Sauli, mwana wa Kishi; nao walikuwamo miongoni mwa wale mashujaa, waliomsaidia vitani.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 12

Mtazamo 1 Nya. 12:1 katika mazingira