1 Nya. 16:1 SUV

1 Wakaliingiza sanduku la Mungu, na kuliweka katikati ya hema aliyoipiga Daudi kwa ajili yake; wakatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani mbele za Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 16

Mtazamo 1 Nya. 16:1 katika mazingira