1 Nya. 17:16 SUV

16 Ndipo akaingia Daudi mfalme, akaketi mbele za BWANA; akasema Mimi ni nani, Ee BWANA Mungu, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hata hapa?

Kusoma sura kamili 1 Nya. 17

Mtazamo 1 Nya. 17:16 katika mazingira