1 Nya. 17:8 SUV

8 nami nimekuwa pamoja nawe kila ulikokwenda, na kuwakatilia mbali adui zako wote mbele yako; nami nitakufanyia jina, kama jina la hao wakuu walioko duniani.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 17

Mtazamo 1 Nya. 17:8 katika mazingira