1 Nya. 17:9 SUV

9 Tena nitawaagizia watu wangu Israeli mahali, nami nitawapanda, wapate kukaa mahali pao wenyewe, wasiondolewe tena; wala wana wa uovu hawatawatesa tena kama hapo kwanza,

Kusoma sura kamili 1 Nya. 17

Mtazamo 1 Nya. 17:9 katika mazingira