1 Nya. 19:18 SUV

18 Washami wakakimbia mbele ya Israeli; naye Daudi akawaua katika Washami watu wa magari saba elfu, na askari waendao kwa miguu arobaini elfu, akamwua na Shobaki, jemadari wa jeshi.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:18 katika mazingira