1 Nya. 19:19 SUV

19 Na watumwa wa Hadadezeri walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, walifanya amani na Daudi, wakamtumikia; wala Washami hawakukubali kuwasaidia wana wa Amoni tena.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:19 katika mazingira