1 Nya. 19:2 SUV

2 Naye Daudi akasema, Nitamtendea wema Hanuni, mwana wa Nahashi, kwa kuwa babaye alinitendea mimi wema. Basi Daudi akapeleka wajumbe ili kumtuliza kwa habari za babaye. Wakaja watumishi wa Daudi katika nchi ya wana wa Amoni kwa Hanuni, ili wamtulize.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:2 katika mazingira