1 Nya. 19:3 SUV

3 Lakini wakuu wa wana wa Amoni wakamwambia Hanuni, Je! Waona Daudi amheshimu babayo kwa kukupelekea wafariji? Je! Hawakukujia watumishi wake ili kuiangalia nchi, na kuiangamiza, na kuipeleleza?

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:3 katika mazingira